Sasa inawezekana kuandaa kikundi chenu kuanzia watu 10 au zaidi na kupata mafunzo live juu ya mbinu tofauti zinazotumika katika mapishi kwa gharama ya Tsh 100,000/= tu.
Sasa inawezekana kuandaa kikundi chenu kuanzia watu 10 au zaidi na kupata mafunzo live juu ya mbinu zinazotumika katika uandaaji wa bidhaa mbalimbali za youghurt.
Sasa inawezekana kuandaa kikundi chenu cha kuanzia watu 10 au zaidi na kupata mafunzo live juu ya mbinu za uandaaji wa ice cream kwa kiasi cha 100,000/= Tshs.