+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Mziwanda Supplies

Tunapika na kupamba Cake za Aina mbalimbali;

Ubuyu mtamu,vikokoto, maandazi, skonzi, popcorn, caramel popcorn,chama snacks,karanga tamu za mayai

Tupo Tabora Stop Point Isevya

Instagram: Mziwanda_bakers

Facebook : Mziwanda Baker's

Mobile: +255768859358  or +255719695959

Sort by
Display per page

SWEET AND DELICIOUS CAKE

Cakes za aina mbali mbali Ladha nzuri , vanilla, pineapple, Buble gum na nyinginezo kulingana na matakwa ya mtumiaji Plain cake, chocolate cake,red velvet cake na wale ambao hawatumii au wana allergies pia tunawajali Cake bila mayai,maziwa kama hivyo pia tunahudumia
25,000.00 (TZS)

SWEET BISKUTS

Yummy and sweet biscuits za aina tofauti, karibu sana
1,000.00 (TZS)

SWEET TASTE CAKE

Cakes za aina mbali mbali Ladha nzuri , vanilla, pineapple, Buble gum na nyinginezo kulingana na matakwa ya mtumiaji Plain cake, chocolate cake,red velvet cake na wale ambao hawatumii au wana allergies pia tunawajali Cake bila mayai,maziwa kama hivyo pia tunahudumia
35,000.00 (TZS)

TEA CAKE

Kwa cake nzuri na tamu za breakfast. karibu Mziwanda suppliers ujipatie vilivyo bora. tunauza kuanzia Tsh. 500, 1,000, 1,500
1,000.00 (TZS)

WEDDING CAKE

Kwa huduma nzuri ya cake za harusi zenye shape tofauti na ukubwa tofauti. Tunatoa huduma kuanzia Tsh. 250,000/- kuendelea.
250,000.00 (TZS)

WHIPPING CREAM POWDER 17,000 1kg

Pata unga mzuri wa kupambia cake ulio katika ubora wa hali ya juu toka kwetu.
17,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved