+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.
Sort by
Display per page

DOUBLE COLOUR FLOWER

Maua mazuri ya kufanya muonekano wa nyumba yako vizuri na kuvutia, tunauza kwa pc 1 Tsh. 3 500. Karibu tukuhudumie
3,500.00 (TZS)

FLYING BIRDS FLOWER

Ni maua yasiyotumia maji mengi kunawiri, Ni mazuri kwa kuweka ofisini hasa Mapokezi (Reception), haya huleta muonekano mzuri ofisini kwako. Yanapatikana kwa size tofauti.
140,000.00 (TZS)

PEACE LILY FLOWER

Ni maua mazuri yatakalofanya eneo lako kuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia kwako na kwa wageni watakao kutembelea na kukufanya ujisikie huru wakati wote. haya ni maua yanayofaa kupamba Ofisi, Nyumba, Shughuli n.k.
20,000.00 (TZS)
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved