+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

DARASA LA UANDAAJI WA ICE CREAM (ONLINE CLASS)

Jifunze mbinu mbalimbali zinazotumika katika utengenezaji wa ice cream kwa njia ya mtandao yaani online classes 30000/= Tshs kwa kila mtu mmoja.
30,000.00 (TZS)

DARASA LA UANDAAJI WA ICE CREAM

(ONLINE CLASS)

Pata elimu ya kina juu ya mambo muhimu ya kuzingatia pamoja na taratibu zote za kufuata katika uandaaji wa ice cream bora na za kisasa.

Mafunzo yatazingatia:

  • Vifaa vinavotumika katika utengenezaj wa ice cream.
  • Viungo vinavyohusika katika uandaaji.
  • Utunzaji wa bidhaa mbalimbali za ice cream

Mafunzo yatafanyika kupitia online classes ambapo kila muhitaji atalipia 30000/= Tshs tu kupata huduma hizo.

" A perfectly made ice cream solves everything "

Write your own review
  • Only registered users can write reviews
  • Bad
  • Excellent
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved