+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Bidhaa mbali mbali zitokanazo na maziwa

Sort by
Display per page

DARASA LA UANDAAJI WA BIDHAA ZA YOGHURT (LIVE CLASS)

Sasa inawezekana kuandaa kikundi chenu kuanzia watu 10 au zaidi na kupata mafunzo live juu ya mbinu zinazotumika katika uandaaji wa bidhaa mbalimbali za youghurt.
100,000.00 (TZS)

DARASA LA UANDAAJI WA YOGHURT PRODUCTS (ONLINE CLASS)

Jifunze mbinu na taratibu zote zinazotumika katika uandaaji wa bidhaa mbalimbali za Yoghurt(maziwa mgando) kupitia online classes kwa kiasi cha 30,000/= Tshs kwa kila muhitaji.
30,000.00 (TZS)

Maharage Combat

Combat Beans per kg
4,000.00 (TZS)

Maharage ya Njano

Yellow Beans per kg
4,000.00 (TZS)

Healthy & Tasty Smoothie

Healthy smoothie ... yogurt and mixed fruits the secret and passion of Mama Mia’s Special treats Glass of 1/4 litre (250mls)
5,000.00 (TZS)

Mshika Mawili, Yote Yake (Hard Copy)

Mshika Mawili Yote Yake ni kitabu Cha hamasa kilichoandikwa na mwandishi Neema Philberth ,ndani ya kitabu hiki zimeelezwa mbinu mbalimbali ambazo zitaweza kukusaidia wewe mpenda maendeleo katika kuongeza kipato chako kwa njia rahisi kabisa . Je unataka kuwa mmoja ya watu waliofanikiwa wakiwa na umri mdogo ,basi majibu yote yapo ndani ya kitabu Cha Mshika Mawili Yote Yake ambapo utafahamu namna ya kushika hayo Mawili na yasikuponyoke.
10,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved