+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Mziwanda Supplies

Tunapika na kupamba Cake za Aina mbalimbali;

Ubuyu mtamu,vikokoto, maandazi, skonzi, popcorn, caramel popcorn,chama snacks,karanga tamu za mayai

Tupo Tabora Stop Point Isevya

Instagram: Mziwanda_bakers

Facebook : Mziwanda Baker's

Mobile: +255768859358  or +255719695959

Sort by
Display per page

DARASA LA UANDAAJI WA YOGHURT PRODUCTS (ONLINE CLASS)

Jifunze mbinu na taratibu zote zinazotumika katika uandaaji wa bidhaa mbalimbali za Yoghurt(maziwa mgando) kupitia online classes kwa kiasi cha 30,000/= Tshs kwa kila muhitaji.
30,000.00 (TZS)

Delicious and Nice Cake

Cakes za aina mbali mbali Ladha nzuri , vanilla, pineapple, Buble gum na nyinginezo kulingana na matakwa ya mtumiaji Plain cake, chocolate cake,red velvet cake na wale ambao hawatumii au wana allergies pia tunawajali Cake bila mayai,maziwa kama hivyo pia tunahudumia
50,000.00 (TZS)

Delicious cake for parties

Cakes za aina mbali mbali Ladha nzuri , vanilla, pineapple, Buble gum na nyinginezo kulingana na matakwa ya mtumiaji Plain cake, chocolate cake,red velvet cake na wale ambao hawatumii au wana allergies pia tunawajali Cake bila mayai,maziwa kama hivyo pia tunahudumia
55,000.00 (TZS)

ICE CREAM

Pata sweet ice cream yenye mchanganyiko wa Vanilla & Strawberry. kwa bei rahisi kuanzia 500, 1,000, 1,500
1,000.00 (TZS)

Juice Dispenser

Glass Dispenser
150,000.00 (TZS) 125,000.00 (TZS)

KARANGA ZA MAYAI

Pata karanga safi zenye mayai zilizoandaliwa kwa usafi wa hali ya juu kumlinda mteja. karibu uzipate kwa bei rahisa sana.
1,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved