+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Mziwanda Supplies

Tunapika na kupamba Cake za Aina mbalimbali;

Ubuyu mtamu,vikokoto, maandazi, skonzi, popcorn, caramel popcorn,chama snacks,karanga tamu za mayai

 

Tupo Tabora Stop Point Isevya

Instagram: Mziwanda_bakers

Facebook : Mziwanda Baker's

Mobile: +255768859358  or +255719695959

Sort by
Display per page

WEDDING CAKE

Kwa huduma nzuri ya cake za harusi zenye shape tofauti na ukubwa tofauti. Tunatoa huduma kuanzia Tsh. 250,000/- kuendelea.
250,000.00 (TZS)

WHIPPING CREAM POWDER 17,000 1kg

Pata unga mzuri wa kupambia cake ulio katika ubora wa hali ya juu toka kwetu.
17,000.00 (TZS)

YOGURT 1LT

Pata yogurt tamu ikiwa plain, ama yenye ladha ya Vanilla, Banana au Strawberry kwa bei rahisi kabisa.
4,000.00 (TZS)

YOGURT CULTURE 1PC

Pata bidhaa nzuri ya culture kwaajili ya kutengenezea YOGURT bora kabisa kutoka kwetu kwa bei nafuu sana. Inaweza kugandisha hadi lata 250.
25,000.00 (TZS) 30,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved