Pata bidhaa nzuri ya culture kwaajili ya kutengenezea MTINDI bora kabisa kutoka kwetu kwa bei nafuu sana. Hii ni Culture ya mtindi ambayo packet moja ni kwaajili ya lita 500 mpaka 600 za maziwa lakini kwa lita za chini tunakadiria kwa kutumia kijiko cha chai ambayo level kijiko ni kwaajili ya lita 100, nusu kijiko lita 50, robo kijiko lita 20-25 na robo ya robo kijiko ni kwaajili ya lita zingine za chini.
Cakes za aina mbali mbali
Ladha nzuri , vanilla, pineapple, Buble gum na nyinginezo kulingana na matakwa ya mtumiaji
Plain cake, chocolate cake,red velvet cake na wale ambao hawatumii au wana allergies pia tunawajali
Cake bila mayai,maziwa kama hivyo pia tunahudumia