+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.
Sort by
Display per page

BUSINESS CARD PRINTING

Karibu MAMA MIA'S STATIONERIES uweze kujipatia offer nzuri ya kuprint kadi zako za biashara yaan (Business Card) kwa bei ya Tsh. 10,000 tu utapata "100pc za Business Card"... Njoo na design yako na sisi tutakuprintia kwa ubora wa hali ya juu.
10,000.00 (TZS)

JISAJILI BRELA

Kwanini usumbuke kuhangaika kuzunguka na kupanga foleni kusajili biashara ama kampuni yako!!??... Njoo kwetu tukusaidie kufanya yote hayo kwaajili yako na kukukabidhi leseni yako pasipo ya wewe kusumbuka na kuzunguka. Wasiliana nasi tukusaidie kusajili toka BRELA TZ.. Gharama zetu ni elf 30,000 tuu ila malipo ya serikali utalipia mwenyewe.
30,000.00 (TZS)

Mshika Mawili, Yote Yake (Hard Copy)

Mshika Mawili Yote Yake ni kitabu Cha hamasa kilichoandikwa na mwandishi Neema Philberth ,ndani ya kitabu hiki zimeelezwa mbinu mbalimbali ambazo zitaweza kukusaidia wewe mpenda maendeleo katika kuongeza kipato chako kwa njia rahisi kabisa . Je unataka kuwa mmoja ya watu waliofanikiwa wakiwa na umri mdogo ,basi majibu yote yapo ndani ya kitabu Cha Mshika Mawili Yote Yake ambapo utafahamu namna ya kushika hayo Mawili na yasikuponyoke.
10,000.00 (TZS)

SAJILI KAMPUNI NA MAMA MIA TOKA BRELA

JISAJILI BRELA Kwanini usumbuke kuzunguka na kupanga foleni kusajili kampuni yako!!??... Njoo kwetu tukusaidie kufanya yote hayo kwaajili yako na kukukabidhi leseni yako pasipo ya wewe kusumbuka na kuzunguka. Wasiliana nasi tukusaidie kusajili toka BRELA TZ.. Gharama zetu ni 500,000 tuu ila malipo ya serikali utalipia mwenyewe.
500,000.00 (TZS)

TABLE TOP CALENDAR

Karibu MAMA MIA'S STATIONERIES uweze kujipatia offer nzuri ya kuprint Kalenda yako ya ofisini yaan (Table Top Calendar) kwa bei ya Tsh. 15,000 tu utapata... Njoo na design yako na sisi tutakuprintia kwa ubora wa hali ya juu.
15,000.00 (TZS)

YEARLY WALL CALENDAR DESIGNING

Karibu tukusaidie kudesign kalenda yako ya mwaka ya ukutani, ikiwa na muoneka tofauti wa kama wallpaper ikiwa na sehemu ya kuweka notes za weekly ama mwezi. kwa sh. 10,000/= tuu tunakutengenezea kwa muonekano uupendao na wa kupendezesha ofisi ama nyumba yako.
10,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved