+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.
Sort by
Display per page

Afya Yako, Mtaji Wako (Up to 70 years) RENEWAL

Bima ya Afya kwa familia mtu 1 mpaka 3 (Health Insurance Family Package for up to 4 people)
200,000.00 (TZS)

Blue Hot-pot set

Chakula bora hutunzwa kwenye vyombo bora! Nunua sasa hot pot set ya kisasa kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 85,000/= tu.Set moja ina hot pots 4.
85,000.00 (TZS)

Chupa ya chai (2 litres)

Chakula bora hutunzwa kwenye vyombo bora! Jipatie chupa ya chai quality yenye ujazo wa lita 2 na uwezo mkubwa wa kutunza vimiminika visipoe haraka.Wahi sasa kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 40,000/= tu.
40,000.00 (TZS)

Chupa ya chai (3 litres)

Chakula bora hutunzwa kwenye vyombo bora! Jipatie chupa ya chai quality yenye ujazo wa lita 3 na uwezo mkubwa wa kutunza vimiminika visipoe haraka.Wahi sasa kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 60,000/= tu.
60,000.00 (TZS)

Classic Dinner set

Get your own classic dinner set !!! Jipatie vyombo quality yaani sahani,visosi,vikombena vibakuli vya udongo kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 110,000/= tu.
110,000.00 (TZS)

Classic Hot-pots

Chakula bora hutunzwa kwenye vyombo bora! Get your own classic set of hot-potsza muundo wa kisasa kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 160,000/= tu.Set moja ina hot pots 5.
160,000.00 (TZS)
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved