+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Kuhusu Sisi (Swahili)

UTAMBULISHO WETU

Sisi ni Mtandao wa Watumiaji.

Mtumiaji ni mtu au taasisi inayonunua bidhaa na huduma kwa matumizi ya kila siku.

 

KUSUDI

Kubadilisha Gharama zetu za kila siku kuwa Uwekezaji.

-Matumizi Yako, Mtaji Wako

 

MAONO

Kuzalisha Kipato endelevu cha vizazi na vizazi.

 

UTUME

Malipo Kila Siku

-Zalisha mapato kila siku

 

Kama Jumuiya ya Watumiaji;

Tunapata mapato zaidi kutoka kwa matumizi yetu ya kila siku kwenye bidhaa na huduma kutoka kwa Wauzaji na Watoa 

Huduma wetu waliosajiliwa kwenye mfumo wetu; hivyo wewe pia unaweza kujisajili na mfumo wetu na kisha:

• Kuwa mwanachama hai

• Fanya matumizi yako ya kila siku kupitia Mama Mia’s Soko

• Shirikisha na wengine na ujiunge nao kwenye mtandao wako ili wawe wanachama hai pia

• Tangaza bidhaa na huduma kwa mtandao wako

• Pata mapato kutoka kwa matumizi yao ya kila mwezi kila wakati wanapoendelea kutumia

 

PATA KIPATO ENDELEVU KUTOKA KWA MPANGO 

WETU WA FIDIA YA MAUZO UNAPOTUMIA NA KUPENDEKEZA KWA WENGINE KUTUMIA KWA NJIA YA SOKO LA MAMA MIA.

 

Kama Matumizi KAMWE HAYATOISHA, ndivyo pia Pato Lako LITAENDELEA KUONGEZEKA!

Kuwa Mtumiaji Mwenye Furaha, Tajiri na Mwenye kuridhika na Soko la Mama Mia.

Karibu Sokoni !!

Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved