GENGESAFI GROCERIES
Wauzaji na wasambazi wa viungo na mboga mboga fresh kutoka shamba.
Tunauza viungio kama
- nyanya, vitunguu, karoti, hoho, pili pili, tangawizi bamia,
- mboga za majani za aina zote,
- matunda na vingine vingi.
Weka oda yako tukifishie ulipo.
Tunapatikana Katesh - Hanang
Simu : +255 658 909 732
Barua pepe: mariarenatus176@gmail.com
Sort by
Display
per page
Pilipili hoho kubwa nzuri za Kijani
Vitunguu vikubwa kwa fungu moja vinakuwa vinne
Vitunguu vizuri,vikubwa havina majimaji ukivitaka hauumii macho na vimekauka vizuri kabisa