GENGESAFI GROCERIES
Wauzaji na wasambazi wa viungo na mboga mboga fresh kutoka shamba.
Tunauza viungio kama
- nyanya, vitunguu, karoti, hoho, pili pili, tangawizi bamia,
- mboga za majani za aina zote,
- matunda na vingine vingi.
Weka oda yako tukifishie ulipo.
Tunapatikana Katesh - Hanang
Simu : +255 658 909 732
Barua pepe: mariarenatus176@gmail.com
Sort by
Display
per page
Asali nzuri ya nyuki Wakubwa
Asali ya nyuki Wakubwa kwa kipimo cha nusu kilo
Bamia nzuri na laini sana, hazijakomaa
Hoho kubwa za kijani fungu moja zinakuwa tatu
Karoti kubwa nzuri na Tamu zinafaa hata kwa kutafuna , karoti fungu zimakuwa tatu