GENGESAFI GROCERIES
Wauzaji na wasambazi wa viungo na mboga mboga fresh kutoka shamba.
Tunauza viungio kama
nyanya, vitunguu, karoti, hoho, pili pili, tangawizi bamia,
mboga za majani za aina zote,
matunda na vingine vingi.
Weka oda yako tukifishie ulipo.
Tunapatikana Katesh - Hanang
Simu : +255 658 909 732
Barua pepe: mariarenatus176@gmail.com
Sort by
Position
Name: A to Z
Name: Z to A
Price: Low to High
Price: High to Low
Created on
Display
3
6
9
per page
Karoti nzuri na kubwa, tamu sana hata kwa Katarina tuu
Hii ni package yenye mchanganyiko wa nyanya sado 1,karoti nusu sado, hoho nusu sado, bamia kilo 1, nyanyachungu kilo1 na vitunguu nusu sado pamoja na pilipili
Vitunguu vikubwa vizuri vilivyo komaa
Nyanya kubwa nzuri na kubwa, fungu moja zinakuwa 4
Nyanya kubwa nzuri na kubwa, fungu moja zinakuwa 4