Tunauza plot za viwanja vyenye ukubwa wa aina mbalimbali vinavyopatikana Kigamboni Hills Estate Dar es salaam vilivyopo umbali wa kilometa 15 na dakika 20 kwa kuendesha gari toka feri.
Tunakutengenezea mazingira rafiki kwako kulipia kiwanja unachokitaka kama ni kwa mkupuo yaani kutoa pesa kamili ya manunuzi ya kiwanja au kwa awamu.
Ikiwa ni kwa awamu basi utapaswa kulipia kidogo kidogo kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 24.
Kwa maelezo zaidi unaweza fika ofisini kwetu zilizopo Masaki,Chole road Plot1829/11(opposite Nabaki Africa) au pia unaweza tembelea official website yetu www.viwanjanow.com
Build your future now !!! Nunua kiwanja kilichopimwa kwa bei poa ya Tshs. 7,864,000/= tu kwa mkupuo au kwa awamu Tshs. 327,666.67/= tu kila mwezi kwa miezi 24.Kiwanja hiko kina ukubwa wa 858 square metres.
Build your future now !!! Nunua kiwanja kilichopimwa kwa bei poa ya Tshs. 9,840,000/= tu kwa mkupuo au kwa awamu Tshs. 410,000.00/= tu kila mwezi kwa miezi 24.Kiwanja hiko kina ukubwa wa 884 square metres.
Build your future now !!! Nunua kiwanja kilichopimwa kwa bei poa ya Tshs. 8,488,000/= tu kwa mkupuo au kwa awamu Tshs. 353,666.67/= tu kila mwezi kwa miezi 24.Kiwanja hiko kina ukubwa wa 936 square metres.