+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

LAND DEVELOPMENT INITIATIVE LIMITED (LDI)

Tunauza plot za viwanja vyenye ukubwa wa aina mbalimbali vinavyopatikana Kigamboni Hills Estate Dar es salaam vilivyopo umbali wa kilometa 15 na dakika 20 kwa kuendesha gari toka feri.

Tunakutengenezea mazingira rafiki kwako kulipia kiwanja unachokitaka kama ni kwa mkupuo yaani kutoa pesa kamili ya manunuzi ya kiwanja au kwa awamu. 

Ikiwa ni kwa awamu basi utapaswa kulipia kidogo kidogo kwa kila mwezi kwa muda wa miezi 24.

Kwa maelezo zaidi unaweza fika ofisini kwetu zilizopo Masaki,Chole road Plot 1829/11(opposite Nabaki Africa) au pia unaweza tembelea official website yetu www.viwanjanow.com

 kurasa zetu za mitandao ya kijamii 

  • Instagram : @viwanjanow
  • Facebook   : ViwanjaNow
  • Twitter       : @viwanjanow

 Telephone

  • +255 785 979 703 

KARIBUNI SANA !!!

Sort by
Display per page

KIGAMBONI PLOTS (800 m2)

Build your future now !!! Nunua kiwanja kilichopimwa kwa bei poa ya Tshs. 7,400,000/= tu kwa mkupuo au kwa awamu Tshs. 308,333.33/= tu kila mwezi kwa miezi 24.Kiwanja hiko kina ukubwa wa 800 square metres.
308,333.33 (TZS)

KIGAMBONI PLOTS (807 m2)

Build your future now !!! Nunua kiwanja kilichopimwa kwa bei poa ya Tshs. 7,456,000/= tu kwa mkupuo au kwa awamu Tshs. 310,666.67/= tu kila mwezi kwa miezi 24.Kiwanja hiko kina ukubwa wa 807 square metres.
310,666.67 (TZS)

KIGAMBONI PLOTS (808 m2)

Build your future now !!! Nunua kiwanja kilichopimwa kwa bei poa ya Tshs. 7,464,000/= tu kwa mkupuo au kwa awamu Tshs. 311,000/= tu kila mwezi kwa miezi 24.Kiwanja hiko kina ukubwa wa 808 square metres.
311,000.00 (TZS)

KIGAMBONI PLOTS (809 m2)

Build your future now !!! Nunua kiwanja kilichopimwa kwa bei poa ya Tshs. 7,600,000/= tu kwa mkupuo au kwa awamu Tshs. 311,333.33/= tu kila mwezi kwa miezi 24.Kiwanja hiko kina ukubwa wa 809 square metres.
311,333.33 (TZS)

KIGAMBONI PLOTS (810 m2)

Build your future now !!! Nunua kiwanja kilichopimwa kwa bei poa ya Tshs. 7,480,000/= tu kwa mkupuo au kwa awamu Tshs. 311,666.67/= tu kila mwezi kwa miezi 24.Kiwanja hiko kina ukubwa wa 810 square metres.
311,666.67 (TZS)

KIGAMBONI PLOTS (825 m2)

Build your future now !!! Nunua kiwanja kilichopimwa kwa bei poa ya Tshs. 7,600,000/= tu kwa mkupuo au kwa awamu Tshs. 316,666.67/= tu kila mwezi kwa miezi 24.Kiwanja hiko kina ukubwa wa 825 square metres.
316,666.67 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved