+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Fresh Farm Products

 

Tunazalisha na kuuza mazao ya aina mbalimbali yaliyo fresh katika mashamba yetu na kufanya delivery ya mazao hayo. 

Mazao mbalimbali yanapatikana kama vile matunda yaani pilipili mwendokasi (chillies),nanasi(pineaple),ndizi mzuzu(banana bunch),boga lishe(butter nut),mbogamboga kama bamia(ocra) na mengine mengi. 

Wasiliana nasi

+ 255 784 350 230

Sort by
Display per page

Water melon (tikiti maji)

Nunua direct toka shamabani fresh water melons kwa bei poa ya Tshs 5000/= tu kwa kila moja.
5,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved