Tunazalisha na kuuza mazao ya aina mbalimbali yaliyo fresh katika mashamba yetu na kufanya delivery ya mazao hayo.
Mazao mbalimbali yanapatikana kama vile matunda yaani pilipili mwendokasi (chillies),nanasi(pineaple),ndizi mzuzu(banana bunch),boga lishe(butter nut),mbogamboga kama bamia(ocra) na mengine mengi.