+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Achari ya embe

Faida za kutumia Achari: 1. Ina wingi wa vitamini A 2. Ina nyuzinyuzi ambazo husaidia mmeng'enyo wa chakula na Husafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula 3. Hupunguza lehemu 4. Husaidia katika kupunguza uzito
Delivery date: 1-2 days
13,000.00 (TZS)
11,000.00 (TZS)

Achari ni embe mbichi zilizokatwakatwa na kuanikwa juani kisha kutengenezwa kama ubuyu. Achari ina wingi wa vitamini A, ina nyuzinyuzi ambazo husaidia mmeng'enyo wa chakula na husafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, hupunguza lehemu na pia husaidia katika kupunguza uzito.

Achari ya embe imeongezwa ladha ya iliki ambayo pia inajulikana kwa faida zake kiafya.

Write your own review
  • Only registered users can write reviews
  • Bad
  • Excellent
Product tags
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved