+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

VYUNGU_POINT

VYUNGU_POINT

 

Ni wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za Maua mbalimbali ya dukani, majumbani na maofisini kwaajili ya kupendezesha eneo ulipo na kukupa muonekano mzuri.

Tunapatikana Dar Es Salaam na Delivery tunafanya kwa wateja wa Dar es salaam.

Mikoani pia tunatuma kwa usalama wa Hali ya juu na uhakika kwa gharama za mteja.

 

KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA.

Instagram: @vyungu_point

WhatsApp: 0736040424

Telephone: 0736040424

 

"Pendezesha eneo lako, Jisikie huru kwa muonekano mzuri"

Sort by
Display per page

DOUBLE COLOUR FLOWER

Maua mazuri ya kufanya muonekano wa nyumba yako vizuri na kuvutia, tunauza kwa pc 1 Tsh. 3 500. Karibu tukuhudumie
3,500.00 (TZS)

FLYING BIRDS FLOWER

Ni maua yasiyotumia maji mengi kunawiri, Ni mazuri kwa kuweka ofisini hasa Mapokezi (Reception), haya huleta muonekano mzuri ofisini kwako. Yanapatikana kwa size tofauti.
140,000.00 (TZS)

PEACE LILY FLOWER

Ni maua mazuri yatakalofanya eneo lako kuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia kwako na kwa wageni watakao kutembelea na kukufanya ujisikie huru wakati wote. haya ni maua yanayofaa kupamba Ofisi, Nyumba, Shughuli n.k.
20,000.00 (TZS)
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved