🎋Hii belt ni kiboko kbisaa alafu ni ndefu inafunika tumbo lote la juu na chini
🎋Ina mikanda mitatu ya kubana tumbo la juu, katikati na chini
🥀Inapunguza kitambi, nyama uzembe na kushape kiuno
🥀Unaweza ivaa wakat wowote ndani ya nguo na kwenda kazini na haituni wala kuonekana na pia unaweza ivaa wakat wa mAzoez
🥀Ni nzur sAna pia kwa kina mama waliotoka kujifungua
🥀Belt zetu ziko very soft and comfortable; haziumizi
🥀Belt zetu ni Original; hazijikunji