🎋Zinalainisha nywele na kuzifanya ziwe soft 🎋Zinazuia nywele kufungamana (detangles) na hvyo kuchana kwa urahisi bila maumivu🎋Zinarefusha, zinajaza na kukuza nywele🎋Zinazuia nywele kukatika