+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

REEN Jamaican Black Castor Oil Strengthen & Restore Leave-In Conditioner

35,000.00 (TZS)

🎋Hii Leave-in Conditioner imetengenezwa na Jamaican black castor oil, Shea butter na peppermint vyote kwa pamoja vinafanya nywele kuota na kurefuka na kujaa kwa haraka, inazuia nywele kukatika na kuipa nywele afya na muonekano mzuri
🎋Inatibu tatizo la nywele kavu kwa kuongeza unyevu (moisture) ya kutosha kwenye nywele
🎋Inalainisha, inang’arisha na kuilinda nywele isikatike
🎋Inatibu tatizo la kukatika au kunyonyoka kwa nywele
🎋Inakuza, inarefusha na kukuza nywele na kuifanya iwe na afya
🎋Inachambua nywele vizuri na kuzuia kufungamana kwa nywele (detangles)
🎋Inarepair nywele iliyochoka, iliyodumaa au kukatika
🎋Inatumika kwa nywele aina zote (natural, relaxer, curl, dreads)
🎋Imetengenezwa na vitu asili; Haina chemicals (sulphate free)
🎋Ujazo wake ni mls 454 g unakaa nayo miezi 6

Write your own review
  • Only registered users can write reviews
  • Bad
  • Excellent
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved