+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

REEN Black Castor Oil Strengthen & Restore Conditioner

30,000.00 (TZS)

🎋Hii Conditioner imetengenezwa na Jamaican black castor oil, Shea butter na peppermint vyote kwa pamoja vinafanya nywele kuota na kurefuka na kujaa kwa haraka, inazuia nywele kukatika na kuipa nywele afya na muonekano mzuri
🎋Inachambua nywele vizuri na kuzuia kufungamana kwa nywele (detangles) na kuiacha na moisture nzuri
🎋Inarepair nywele iliyochoka, iliyodumaa au kukatika
🎋Inatumika kwa nywele aina zote (natural, relaxer, curl, dreads)
🎋Imetengenezwa na vitu asili; Haina chemicals (sulphate free)
🎋Ujazo wake ni mls 500 unakaa nayo miezi 6

Write your own review
  • Only registered users can write reviews
  • Bad
  • Excellent
Product tags
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved