+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Products tagged with 'vyombo'

Sort by

Soup bowls

Get super quality bowls now upate kufurahia ulaji Kwako na familia yako kwa bei poa ya Tshs. 50,000/= Kwa manunuzi ya seti moja unapata vibakuli 6 pamoja na bakuli moja kubwa.
50,000.00 (TZS)

Sufuria set

Get your own Sufuria set !!! Jipatie seti ya sufuria quality zenye ukubwa mbalimbali kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 150,000/= tu.Seti moja ikiwa na sufuria 5.
150,000.00 (TZS)

Tea set

Get your own classic Tea set !!! Jipatie vyombo quality yaani birika na vikombe vya udongo kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 70,000/= tu.
70,000.00 (TZS)

Vijiko set

Get your own classic vijiko set !!! Jipatie complete collection ya vijiko quality vya kupikia na kulia chakula,visu pamoja na uma yaani forks kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 35,000/= tu kwa seti nzima.
35,000.00 (TZS)

Vyombo vya udongo

Chakula bora hutunzwa na vyombo bora! Jipatie seti ya vyombo vya udongo kama visosi,vibakuli,vikombe na sahani bora vinavyokidhi matumizi mbalimbali ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 95,000/= tu.
95,000.00 (TZS)

White Hot-pot set (4 Pc)

Chakula bora hutunzwa kwenye vyombo bora! Nunua sasa hot pot set ya kisasa kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 75,000/= tu.Set moja ina hot pots 4.
75,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved