+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Products tagged with 'culture'

Sort by

MTINDI CULTURE 1PC

Pata bidhaa nzuri ya culture kwaajili ya kutengenezea MTINDI bora kabisa kutoka kwetu kwa bei nafuu sana. Hii ni Culture ya mtindi ambayo packet moja ni kwaajili ya lita 500 mpaka 600 za maziwa lakini kwa lita za chini tunakadiria kwa kutumia kijiko cha chai ambayo level kijiko ni kwaajili ya lita 100, nusu kijiko lita 50, robo kijiko lita 20-25 na robo ya robo kijiko ni kwaajili ya lita zingine za chini.
25,000.00 (TZS) 30,000.00 (TZS)

YOGURT CULTURE 1PC

Pata bidhaa nzuri ya culture kwaajili ya kutengenezea YOGURT bora kabisa kutoka kwetu kwa bei nafuu sana. Inaweza kugandisha hadi lata 250.
25,000.00 (TZS) 30,000.00 (TZS)
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved