+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Products tagged with 'sabuni'

Sort by

Beautiful In&Out

Get your Beauty Package kwa bei poa ya Tsh. 100,000/= tu yenye vipodozi asilia vyenye ubora wa hali ya juu na nzuri kwa mwili wako na kukufanya kuwa mrembo na mwenye maisha ya amani zaidi kwako na mpenzi wako. Vyote vimeandaliwa hapa Tanzania na Havichubui, Vinang’arisha. Faida za Kahawa, Karafuu, Manjano na Liwa, unga wa kokwa la embe na kungu ni nyingi sana ndani na nje ya mwili!! Package ina vitu kama: Amsha Amsha Pakiti 1, Mannur Natural Kahawa Soap Pakiti 2, Manjano + Liwa body cream Kopo 2, Mannur Kahawa body scrub Kopo 2, kikokwa Pakiti 2, " Love your body, Love it everyday "
100,000.00 (TZS)

Jamaa Bar Soap

Mche 1
3,500.00 (TZS)

Multipurpose Soap 5L

Sabuni nzuri ya kufulia, kudekia na kuosha vyombo
16,000.00 (TZS) 15,000.00 (TZS)

Palm Soap

Katon ya sabun yenye vipande 30 Imetengenezwa kwa mafuta ya palm oil/ chikichi na karafuu
11,000.00 (TZS) 10,000.00 (TZS)

Sabuni ya Magad/mawingu

Sabuni hii ni sabun itokanayo na mafuta ya kiini cha ndani cha palm oil/mchikichi
28,000.00 (TZS) 26,000.00 (TZS)

Sabuni ya mche

Sabuni nzur kwa matumiz ya majumban Box 1 ime beba miche 25
80,000.00 (TZS) 72,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved