*Inachaji bila wewe kuunga na charger ya simu,
* Ina sensor ambayo hujifungua na kufunga pindi unapoigusa
*Inasupport kuchaji kwa kutumia vichajio sumaku vya Apple, type C na USB port ambavyo vipo kwenye holder hii.
*Inatumika kama kishikio cha simu ndani ya gari.
*Inaongeza mvuto ndani ya gari lako.