+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Funeral Cover

Kwa Tsh. 10,000 tuu MAMA MIA'S SOKO kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima tunakupa Pole ya Msiba ya Tsh. 1,000,000/- kwa Msiba wa Mchangiaji; Tsh. 1,000,000/- kwa Msiba wa Mke/Mume wa Mchangiaji Tsh. 1,000,000/- kwa Msiba wa mtoto (mpaka watoto wanne tu)
Free shipping
10,000.00 (TZS)
6,000.00 (TZS)

Tumeamua kukupa pole ya MSIBA.

Pole ya Msiba inatolewa na kampuni ya Bima  ndani ya Siku 3 baada ya kujaza Fomu ya Madai, Kibali cha mazishi, certified copy ya (kitambulisho Cha Mchangiaji, cheti cha ndoa au cheti cha kuzaliwa kwa watoto).

Note:

Premium ni Tsh.10,000/-

Wakati wa kulipia Ambatanisha na Clear Legal ID Moja Kati ya hizi (Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva, Kitambulisho Cha Taifa, Kitambulisho Cha kupigia Kura au Hati ya mkazi wa Zanzibar)

Lipia hii package hapa hapa moja kwa moja kupitia instant pay

Write your own review
  • Only registered users can write reviews
  • Bad
  • Excellent
Product tags
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved