+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Nanasi

Nanasi ni moja kati ya matunda yenye vitamini A, B, C, madini ya chuma, Calcium, Phosphorus na Copper, na virutubisho vingi vinavyoupa mwili nguvu na kuepuka kushambuliwa na madhara
Delivery date: 1-2 days
3,500.00 (TZS)
4,000.00 (TZS)

Mwili unapokosa kinga imara, unakuwa katika hatari ya kushambuliwa na kila aina ya magonjwa, lakini nanasi lina sifa ya kukabiliana na hali hiyo.

Nanasi ni moja kati ya matunda yenye vitamini A, B, C, madini ya chuma, Calcium, Phosphorus na Copper, na virutubisho vingi vinavyoupa mwili nguvu na kuepuka kushambuliwa na madhara.

Ulaji wa tunda hili mara kwa mara, husaidia kuupa mwili kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali hasa pumu na shinikizo la damu.

Write your own review
  • Only registered users can write reviews
  • Bad
  • Excellent
Product tags
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved