+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

JENTO SPICES

Watengenezaji mahiri, wauzaji na wasambazaji wa viungo bora, vyenye ladha na harufu nzuri. Pia ni salama kwa Afya ya mlaji. Nunua leo, hutojutia pesa yako. Karibu tukuhudumie.

  • Tuna viungo vya chai ( Tea masala )
  • Viungo vya pilau ( Pilau masala )
  • Viungo vya mchuzi.
  • Viungo vya Biriani
  • Viungo vya samaki.
  • Viungo vya kuku
  • Alkasusu.

Tunapatikana Dar es salaam, Tabata Aroma, Hai Bar.

Wasiliana nasi kupitia

Namba : +255 754 461626

Barua pepe : ashurabadi@yahoo.com

Ig: @jentofoodspices

      @jentofoodproducts

Sort by
Display per page

CINNAMON

INGREDIENTS PURE CINNAMON
5,000.00 (TZS)

CLOVES

INGREDIENTS (VILIVYOMO): CLOVES (KARAFUU)
5,000.00 (TZS)

COUGH & FLU SPICES

INGREDIENTS (VILIVYOMO): GINGER(TANGAWIZI), BLACK PEPPER, (PILIPILI MANGA), TURMETIC (BINZALI), BLACK SEED(HABAT SODA)
6,000.00 (TZS)

PILAU MASALA

INGREDIENTS (VILIVYOMO) CUMIN,CORRANDER, CLOVES, CINNAMON, CARDAMON, GARLIC, (BIZALI NYEMBAMBA, GILIGILANI, KARAFUU, MDALASINI, ILIKI NA KITUNGUU SAUMU)
5,000.00 (TZS)

TEA MASALA

Ingredients (Vilivyomo): Ginger (Tangawizi), Cloves (Karafuu), Cardamon (Iliki), Cinnamon (Mdalasini), Black Pepper (Pilipili Manga)
5,000.00 (TZS)

Unga Lishe Ngano na Mchele

INGREDIENTS (VILIVYOMO) PURE RICE, WHEAT FLOUR, (NGANO NA MCHELE)
10,000.00 (TZS)
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved