Huduma zitolewazo nasi:
- Uzaji wa chakula cha kuku
- Dawa za mifugo
- Utolewaji wa huduma za kidaktari
- Utoaji wa tiba asili za mifugo
- Tunauza chakula cha nyongeza kinachotokana na miti ya asili kama vile, mlonge, chaya na russina
- Tunasimamia vikundi vya wafugaji wadogo wadogo
Wasiliana nasi kupitia:
0780969650
Services offered by us:
- Production of chicken feed
- Veterinary medicine
- Provision of medical services
- Provision of natural veterinary remedies
- We sell food supplements derived from natural trees such as, cardamom, chaya and russina
- We manage groups of small breeders
Reach out to us through:
0780969650