+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.
Sort by
Display per page

Serving Bowl

Decorate your kitchen with us !!! Purchase a brand new serving bowl yaani bakuli kubwa ya kupakulia vyakula na matumizi mbalimbali ya jikoni.Get it now kwa bei poa ya Tshs. 45,000/= tu.
45,000.00 (TZS)

Serving Pots

Chakula bora hutunzwa kwenye vyombo bora! Nunua sasa serving hot-pot set ya kisasa kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 75,000/= tu.Set moja ina hot pots 3.
75,000.00 (TZS)

Seti ya Pazia

Decorate your house with us !!! Nunua seti ya mapazia 3 yakiwemo mawili mazito na moja jepesi kwa bei poa ya Tshs. 90,000/= tu. Kiukamilifu zaidi pia unaweza chukua na bomba za pazia njia mbili kwa Tshs. 25,000/= tu au za njia moja kwa Tshs. 9,000/= tu.
90,000.00 (TZS)

Soup bowls

Get super quality bowls now upate kufurahia ulaji Kwako na familia yako kwa bei poa ya Tshs. 50,000/= Kwa manunuzi ya seti moja unapata vibakuli 6 pamoja na bakuli moja kubwa.
50,000.00 (TZS)

Sufuria set

Get your own Sufuria set !!! Jipatie seti ya sufuria quality zenye ukubwa mbalimbali kwa matumizi ya nyumbani wewe na familia yako kwa bei poa ya Tsh. 150,000/= tu.Seti moja ikiwa na sufuria 5.
150,000.00 (TZS)

USHONAJI WA MAPAZIA 1.5 M

Kama una kitambaa chako cha mapazia na unataka kushonewa na kuwekewa rings
12,000.00 (TZS) 10,600.00 (TZS)
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved