DINNER SET PACKAGE
Jipatie Dinner set iliyo sheheni vyombo vya udongo vyenye ubora, vizuri kwa muonekano na uimara wa Hali ya juu, visivyo vunjika kwa urahisi. Hii ni package yenye Sahani 4 Kubwa, Bakuri za square Kubwa 4, Visosi 4 na Vikombe vya chai vikubwa 4 Vitakavyoifanya Meza Yako kupendeza na mlo Wako kuvutia.