DELICIOUS CUTLETS
Wamama wa maofisini mupo??
Kwa nini mtoto abebeshwe cutlets kila siku kisa hauna muda wa kumtengenezea? Nunua in bulk, weka kwenye freezer maisha yasonge!!
Hata kama wewe sio mama pata cutlets bora kwa bei poa ya Tsh 8000/= tu kwa cutlets 20.
It's your choice.
" Color your life with delicious bites "