+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

DARASA LA KUPIKA NA KUPAMBA KEKI (ONLINE CLASS)

Jifunze mbinu na mahanjumati yote yanayotumika katika maandalizi ya keki kwa njia ya mtandao yaani online classes 30000/= Tshs kwa kila mtu mmoja.
30,000.00 (TZS)

DARASA LA KUPIKA NA KUPAMBA KEKI

(ONLINE CLASS)

Pata elimu ya kina juu ya mambo muhimu ya kuzingatia pamoja na taratibu zote za kufuata katika uandaaji wa keki bora na za kisasa.

Mafunzo yatazingatia:

  • Vifaa vinavotumika katika utengenezaj wa keki.
  • Viungo vinavyohusika katika mapishi.
  • Aina mbalimbali za uandaaji na upambaji keki.

Mafunzo yatafanyika kupitia online classes ambapo kila muhitaji atalipia 30000/= Tshs tu kupata huduma hizo.

                     " Keep calm and bake cakes "

Write your own review
  • Only registered users can write reviews
  • Bad
  • Excellent
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved