+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

DARASA LA KUPIKA NA KUPAMBA KEKI (LIVE CLASS)

Sasa inawezekana kuandaa kikundi chenu cha kuanzia watu 10 au zaidi na kupata mafunzo live juu ya mbinu za uandaaji wa keki bora kwa kiasi cha 400,000/= Tshs.
400,000.00 (TZS)

DARASA LA KUPIKA NA KUPAMBA KEKI

(LIVE CLASS)

Nafasi ya pekee kujifunza mambo yote yanayohusu uandaaji na upambaji keki mkiwa kama kikundi kuanzia watu kumi na kuendelea kwa bei nafuu ya 400,000/= Tshs tu.

Mwalimu atasafiri kufika mkoa mlipo na vifaa vyote vya ufundishaji.

NB: Darasa la kufundishia litakua juu ya wahitaji wa huduma hiyo walio wenyeji eneo ilo.

" Real experience is priceless,Go for it! "  

Write your own review
  • Only registered users can write reviews
  • Bad
  • Excellent
Product tags
Copyright © 2025 Mama Mia’s Soko. All rights reserved