Kwa Tsh. 100,000/= ya kitanzania unapata package (KAPU) lililosheheni vitu kibao vya kumsaidia mama jikoni.
Hili ni KAPU lililo na:-
Ndizi mbivu 10,
Karoti kilo 2,
Parachichi 3,
Hoho kilo 1,
Nyama kilo 3,
Vitunguu swaumu robo kilo (1/4)
Vitunguu maji Sado 1,
Njegere kilo 1,
Tikiti Kubwa 1,
Chumvi pakiti 3,
Nyanya Sado 1,
Tangawizi kg 1,
Kabeji pc 1,
Tango pc 4,
Ndizi Bukoba pc 12,
Viazi Mviringo sado 1,
Pilipili Mwendokasi fungu 2.