+255 765 658 595 info [at] mamamia.co.tz
You currently have
in your basket.

Mama Mia’s Big Basket

Tunasambaza vyakula toka Sokoni mpaka hotelini, nyumbani au ofisini kwako ndani ya Dar es Salaam.

UTARATIBU WETU: 

Weka oda yako siku yoyote na mzigo utaupata kesho yake. 

 

Gharama za kudeliver ni juu ya mteja*

+255762883065  

mamamiasoko@gmail.com 

 

Karibu Tukuhudumie kwa Wakazi wa Dar es Salaam tu. 

-----------

We supply fresh groceries from the market 

Supply Entry Packages for Qualified Members. 

We deliver everyday for preorders a day before.  

Welcome!!! 

Delivery Charges on Client*

 

 

Sort by
Display per page

Beautiful In&Out

Get your Beauty Package kwa bei poa ya Tsh. 100,000/= tu yenye vipodozi asilia vyenye ubora wa hali ya juu na nzuri kwa mwili wako na kukufanya kuwa mrembo na mwenye maisha ya amani zaidi kwako na mpenzi wako. Vyote vimeandaliwa hapa Tanzania na Havichubui, Vinang’arisha. Faida za Kahawa, Karafuu, Manjano na Liwa, unga wa kokwa la embe na kungu ni nyingi sana ndani na nje ya mwili!! Package ina vitu kama: Amsha Amsha Pakiti 1, Mannur Natural Kahawa Soap Pakiti 2, Manjano + Liwa body cream Kopo 2, Mannur Kahawa body scrub Kopo 2, kikokwa Pakiti 2, " Love your body, Love it everyday "
100,000.00 (TZS)

Bell Pepper

Hoho kwa kilo
2,500.00 (TZS)

Biringanya (Eggplant)

Kwa fungu
1,500.00 (TZS) 2,000.00 (TZS)

Black pepper - Pili Pili manga

Kopo
3,000.00 (TZS) 3,500.00 (TZS)

BONGO BITES

Bongo Bites Pack ndani ya Big Basket kwa Tsh. 100,000/= tuu! Tunakupatia bites mbalimbali kwa ajili ya kufurahi na ndugu, jamaa na marafiki.Furahia Chapati Kubwa 10, Sambusa za Nyama 20,Maandazi 50,Vitumbua 20,Cutlets 20 na Visheti Pack yenye ujazo wa kilo 1
100,000.00 (TZS)

Boost Your Immune System (Jenga Kinga ya Mwili)

Jikinge na Corona Virus Kwa kutumia Tiba Lishe kujenga Kinga ya Mwili Kwa TZS 25,000 unapata: Asali mbichi lita 1 Limao 10 Tangawizi 1/2kg V.Swaumu 1/4kg Unaletewa mpaka kwenye kituo Cha bus Karibu na wewe bila gharama ingine yoyote
25,000.00 (TZS)

Bridal Package 1

1.Makeup 2.Hair style 3.Matron makeup and Hair
270,000.00 (TZS) 220,000.00 (TZS)

Bridal Package 2

1. Makeup 2. Hair style 3. Eye Lashes 4. Matron Makeup and Hair
325,000.00 (TZS) 275,000.00 (TZS)

Bridal Package 3

1. Makeup 2. Frontal/Brazilian hair/Hair style/Gala 3. Eye Lashes 4. Nails 5. Matron Makeup and hair
365,000.00 (TZS) 315,000.00 (TZS)
Copyright © 2024 Mama Mia’s Soko. All rights reserved