Achari ni embe mbichi zilizokatwakatwa na kuanikwa juani kisha kutengenezwa kama ubuyu. Achari ina wingi wa vitamini A, ina nyuzinyuzi ambazo husaidia mmeng'enyo wa chakula na husafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, hupunguza lehemu na pia husaidia katika kupunguza uzito.
Achari ya embe imeongezwa ladha ya iliki ambayo pia inajulikana kwa faida zake kiafya